John Tyler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
John Tyler

John Tyler (29 Machi 179018 Januari 1862) alikuwa Rais wa kumi wa Marekani kuanzia mwaka wa 1841 hadi 1845. Alikuwa Kaimu Rais wa William Henry Harrison aliyefariki madarakani baada ya mwezi mmoja tu.

Tazamia pia[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Tyler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.