Rosalynn Carter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Official portrait, 1977

Eleanor Rosalynn Carter; (alizaliwa Agosti 18, 1927) ni mwandishi na mwanaharakati wa Marekani ambaye aliwahi kuwa mwanamke wa kwanza wa Marekani kutoka mwaka 1977 hadi 1981 kama mke wa Raisi Jimmy Carter . . Kwa miongo kadhaa, amekuwa mtetezi wa mambo mbalimbali kama vile afya ya akili.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rosalynn Carter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.