Mwanamke wa Kwanza
Mandhari
Mwanamke wa Kwanza (kwa Kiingereza: "First Lady") ni cheo kisicho rasmi ambacho hupewa mke wa rais au mkuu wa nchi asiye mfalme au Kaisari. Nchini Marekani, mke wa gavana wa jimbo pia huitwa "Mwanamke wa Kwanza".
Asili
[hariri | hariri chanzo]Cheo hicho kilitumiwa mara ya kwanza kama "First Lady" nchini Marekani karne ya 19. Ndivyo Rais Zachary Taylor alivyomwita Dolley Madison mwaka wa 1849 wakati wa mazishi yake.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwanamke wa Kwanza kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |