Nenda kwa yaliyomo

Owen Davis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Owen Gould Davis Sr.

Owen Gould Davis Sr. (29 Januari 187414 Oktoba 1956) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani.

Mwaka wa 1923, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Icebound.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Owen Davis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.