Amy Lowell
Mandhari
Amy Lawrence Lowell (9 Februari 1874 – 12 Mei 1925) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1926 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi, yaani baada ya kifo chake tu.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amy Lowell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |