August Krogh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
August Krogh

August Krogh (15 Novemba 187413 Septemba 1949) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza maswali ya uvutaji pumzi. Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu August Krogh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.