Masimo wa Riez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Masimo wa Riez (Chateau-Redon, Provence-Alpes-Côte d'Azur, leo Ufaransa, 388 hivi - 460 hivi) alikuwa mfuasi wa Honorati wa Arles, mwanzilishi wa monasteri maarufu katika kisiwa cha Lerins[1]. Alimpokea kama abati, halafu yeye pia akawa askofu (wa Riez) ingawa kwanza alikimbia[2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Novemba[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.