Bruce Lee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bruce Lee mnamo 1967

Bruce Jun Fan Lee (anajulikana zaidi kwa jina la Bruce Lee) alikuwa mtaalamu wa sanaa ya upambanaji ya asili ya China kama vile Kung Fu. Staili yake aliyokuwa akitumia aliita Jun Fan Gung Fu. Alikuwa pia mcheza sinema mahiri. Bruce Lee alizaliwa 27 Novemba 1940 nchini Marekani na kufariki dunia 20 Julai 1973. Kati ya sinema zilizompatia sifa na umaarufu mkubwa duniani ni ile ya Enter the Dragon.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruce Lee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.