Fakundi na Primitivi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu zao.

Fakundi na Primitivi (walifariki karibu na Sahagún, Hispania, 300 hivi) walikuwa Wakristo waliokatwa kichwa kwa ajili ya imani yao[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa kila tarehe 27 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint of the Day, November 27: Facundus and Primitivus". SaintPatrickDC.org. 2009. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-06. Iliwekwa mnamo March 18, 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.