Lars Onsager

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lars Onsager (1968)

Lars Onsager (27 Novemba 19035 Oktoba 1976) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Norwei. Baadaye alihamia Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza hali za kikemia zisizowezekana kugeuzwa. Mwaka wa 1968 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lars Onsager kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.