Ursino wa Bourges

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Villers-sur-le-Roule (Eure).

Ursino wa Bourges (alifariki Bourges, leo nchini Ufaransa, karne ya 3) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo[1].

Gregori wa Tours alisimulia habari zake kwa kuzichanganya na hadithi zisizoaminika kihistoria[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 9 Novemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.