Nenda kwa yaliyomo

Joji wa Lodeve

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Joji juu ya lango la kanisa kuu la Lodeve.

Joji wa Lodeve (alifariki 870 hivi) alikuwa askofu wa Lodeve (leo nchini Ufaransa) [1].

Pengine anachanganywa na Joji wa Vabres.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.