Joji wa Vabres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joji wa Vabres (pia: Georges; aliishi Ufaransa, karne ya 9) alikuwa mmonaki huko Conques, halafu mwaka 864 akahamia monasteri mpya huko Vabres[1].

Inasemekana mwaka 877 alifanywa askofu wa Lodeve, lakini inawezekana Joji wa Lodeve[2] ni mtu mwingine[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Februari[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.