Agripini wa Napoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Agripini wa Napoli (pia: Arpino; karne ya 2 - 233) anatajwa kama askofu wa sita wa mji huo wa Italia Kusini.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Agrippinus of Naples B (RM) (also known as Arpinus). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-02-06. Iliwekwa mnamo 2020-11-08.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.