Jack Szostak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Jack Szostak
Jack Szostak]
Kazi yakemwanabiolojia kutoka nchi ya Kanada


Jack Szostak (amezaliwa 9 Novemba, 1952) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Kanada. Baada ya kupokea ushahada wake wa kwanza akahamia Marekani. Hasa alichunguza vimeng'enya vya telomeri. Mwaka wa 2009, pamoja na Carol Greider na Elizabeth Blackburn, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Jack Szostak
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Szostak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.