Elizabeth Blackburn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elizabeth Blackburn

Elizabeth Blackburn (amezaliwa 26 Novemba, 1948) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Australia. Baada ya kupokea ushahada wake wa tatu akahamia Marekani. Hasa alichunguza vimeng'enya vya telomeri. Mwaka wa 2009, pamoja na Carol Greider na Jack Szostak, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Blackburn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.