Philip Schultz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Philip Schultz, 2008

Philip Schultz (amezaliwa 6 Januari 1945) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2008 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi akiishirikia na Robert Hass.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philip Schultz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.