Henry S. Taylor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Henry Splawn Taylor (amezaliwa 21 Juni 1942) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1986 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry S. Taylor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.