Peter Balakian
Mandhari
Peter Balakian (kwa Kiarmenia Փիթըր Պալաքեան; amezaliwa 13 Juni 1951) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2016 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Balakian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |