Richard Howard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Joseph Howard (amezaliwa 13 Oktoba 1929) ni mshairi, mhakiki na mtafsiri wa Kifaransa kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1970 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Howard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.