John Ashbery

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Ashbery, 2010

John Lawrence Ashbery (28 Julai 1927 - 3 Septemba 2017) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1976 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Ashbery ameandika zaidi ya diwani za mashairi zipatazo ishirini ambazo zimechapishwa na kushinda tuzo mbalimbali kubwa za American award for poetry, ikiwemo tuzo ya Pulitzer Prize aloipata mwaka 1976. Alitambulika pia kwa msukumo wake wa mashairi ya kimalumbano,

Ashbery alikuwa anatamani kuona kazi zake zikikubalika na watu wengi iwezekanavyo na si ibaki kazi yake peke yake.[1]

Tuzo na Heshima[hariri | hariri chanzo]

 • The Raymond Roussel Society Medal 2017
 • National Humanities Medal 2011
 • New York Writers Hall of Fame 2011
 • National Book Award 2011[2]
 • America Award in Literature 2008
 • Robert Creeley Award 2008[3]
 • National Book Award 2005
 • Bestowed the rank of Officier de la Légion d'honneur ya nchini Ufaransa 2002.[4]
 • Robert Frost Medal 1995
 • MacArthur Fellows Program 1985
 • Bollingen Prize in Poetry 1984
 • Lenore Marshall Poetry Prize 1984
 • Pulitzer Prize in Poetry 1976
 • National Book Award 1975
 • National Book Critics Circle Award 1976
 • Yale Younger Poets Prize alozawadiwa na W.H. Auden mwaka 1956

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. NPR interview with Ashbery about his collection Where Shall I Wander - including poem audio. March 19, 2005
 2. "Distinguished Contribution to American Letters". National Book Foundation. Retrieved 2012-03-11.
  (With acceptance speech by Ashbery.)
 3. "Robert Creeley Award". robertcreeleyfoundation.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-04. Iliwekwa mnamo March 19, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
 4. "John Ashbery: The existential loneliness of a brilliant poet", America Magazine, September 8, 2017. (en) 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Ashbery kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.