Nenda kwa yaliyomo

John Berryman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Berryman (25 Oktoba, 1914 - 7 Januari, 1972) alikuwa mshairi kutoka nchini Marekani. Hasa amejulikana kwa kuandika The Dream Songs ("Nyimbo za Ndoto"). Kwa ajili ya mashairi hayo alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mwaka wa 1965.

Alipokuwa na umri wa miaka kuminamoja tu, babake alijiua. Ndivyo alivyofariki na John Berryman yeye mwenyewe, yaani kwa kujiua.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Berryman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.