Audrey Wurdemann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Audrey Wurdemann alivyochorwa kwa penseli

Audrey Wurdemann (1 Januari 191120 Mei 1960) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Aliolewa na mwandishi Joseph Auslander mwaka wa 1932. Mwaka wa 1935 Wurdemann alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Audrey Wurdemann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.