W. H. Auden
Mandhari
Wystan Hugh Auden (21 Februari 1907 – 29 Septemba 1973) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Uingereza. Mwaka wa 1939 akahamia Marekani na kupata uraia wa Marekani 1946. Mwaka wa 1948 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu W. H. Auden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |