Conrad Aiken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Conrad Aiken

Amezaliwa Conrad Potter Aiken
5 Agosti 1889
Georgia, Marekani
Amekufa 17 Agosti 1973
Georgia, Marekani
Nchi Marekani


Conrad Potter Aiken (5 Agosti 188917 Agosti 1973) alikuwa mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na riwaya kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1930, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Conrad Aiken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.