Gwendolyn Brooks
Mandhari
Gwendolyn Elizabeth Brooks (7 Juni 1917 – 3 Desemba 2000) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1949, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi kwa mashairi yake. Alikuwa Mwafrika-Mmarekani wa kwanza kupokea tuzo hilo.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gwendolyn Brooks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |