Yusef Komunyakaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yusef Komunyakaa, 2011

Yusef Komunyakaa (amezaliwa 29 Aprili 1941) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni James William Brown. Mwaka wa 1994 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yusef Komunyakaa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.