Charles Simic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles Simic

Charles Simic (amezaliwa 9 Mei 1938) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1990 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Simic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.