Nenda kwa yaliyomo

Robert P. T. Coffin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Peter Tristram Coffin (18 Machi 189220 Januari 1955) alikuwa mwandishi na profesa kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1936 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Robert Peter Coffin alikuwa mtoto wa mwisho kati ya watoto kumi wa familia ya James William Coffin, kizazi cha Tristram Coffin na Alice Mary. Alihitimu shahada yake katika chuo cha Bowdoin College mwaka 1915 na pia shahada ya sanaa chuo kikuu cha Princeton University mwaka 1916. Kutoka [1921]] alipewa digrii ya udaktari wa fasihi kutoka Oxford University. Alishinda tuzo ya Pulitzer Prize mwaka 1936.[1]

Kifo[hariri | hariri chanzo]

Coffin alifariki kwa ugonjwa wa moyo huko Brunswick, Mnamo January 20, 1955,akiwa na umri wa miaka 62. Alizikwa katika makaburi ya Cranberry Horn Cemetery Harpswell.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Strange holiness, The 1936 Pulitzer Prize Winner in Poetry".
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert P. T. Coffin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.