Maxine Kumin
Mandhari
Maxine Winokur Kumin (6 Juni 1925 – 6 Februari 2014) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1973 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maxine Kumin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |