Sharon Olds

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sharon Olds

Sharon Olds (amezaliwa 19 Novemba 1942) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2013 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sharon Olds kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.