Howard Nemerov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Howard Nemerov.jpg
Howard Nemerov

Howard Nemerov (29 Februari 19205 Julai 1991) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1978 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Howard Nemerov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.