William Rose Benét

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Rose Benét (2 Februari 18864 Mei 1950) alikuwa mshairi na mhariri kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1942 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Miasha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Wiliama Benet alizaliwa jijini New York, akiwa mtoto wa kanali wa jeshi James Walker Benét na mke wake, Frances Neill (née Rose), ni mjukuu wa brigedia wa jeshi la Marekani Stephen Vincent Benet.

Alipata elimu katika shule ya The Albany Academy, Albany, baadaye Sheffield Scientific School ya Yale University[1] alipokuwa akiandika mashairi katika majarida ya chuo.[2]

Mwaka 1924 alianza kufanya tahakiki ya mashairi katika magazeti na kuyahariri mpaka alipofikwa na mauti.

Kazi zake[hariri | hariri chanzo]

 • Merchants of Cathay 1913
 • The Great White Wall: A Poem 1916
 • Perpetual Light: A Memorial 1919
 • Moons of Grandeur: A Book of Poems 1920
 • Dry Points: Studies in Black and White 1921
 • The Flying King of Kurio: A Story of Children 1926
 • Wild Goslings: A Selection of Fugitive Pieces 1927
 • Starry Harness 1933
 • Pocket University: Guide to Daily Reading 1934
 • Golden Fleece: A Collection of Poems and Ballads Old and New 1935
 • Great Poems of the English Language 1936
 • Mad Blake: A Poem 1937
 • Day of Deliverance: A Book of Poems in Wartime 1940
 • The Dust Which is God: A Novel in Verse 1941
 • The Stairway of Surprise: Poems 1947
 • Timothy's Angels, Verse 1947
 • The Spirit of the Scene 1951
 • The First Person Singular 1971
 • The Prose and Poetry of Elinor Wylie 1974

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. "William Rose Benét". Obituary Record of Graduates of the Undergraduate Schools Deceased during the Year 1949-1950. New Haven: Yale University. January 1, 1951. p. 170.
 2. Bronson, Francis W., Thomas Caldecott Chubb, and Cyril Hume, eds. (1922) The Yale Record Book of Verse: 1872-1922. New Haven: Yale University Press. pp. 104-106.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Rose Benét kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.