Tahakiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tahakiki (kutoka Kiarabu) ni maelezo yanayoandikwa na mtu yeyote ambayo huchambua na kufafanua kitaaluma kazi fulani ya fasihi ili kuonyesha wazi uzito na udhaifu wa mambo yaliyojadiliwa, pamoja na uhalisia wa mambo na hatimaye namna ya kuboresha kazi hiyo.

Mara nyingi tahakiki huwa kitabu kinachochambua kazi mbalimbali za fasihi andishi.

Kazi zinazochambuliwa na tahakiki katika kazi ya fasihi ni pamoja na tamthiliya, riwaya au ushairi.

Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tahakiki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.