Nenda kwa yaliyomo

Leonard Bacon (mshairi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leonard Bacon (26 Mei 18871 Januari 1954) alikuwa mshairi na mtafsiri kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1941 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.[1]

Kazi Zake

[hariri | hariri chanzo]
  • The Heroic Ballads of Servia (ilitafsiriwa kutoka lugha ya kihispania) 1913
  • Chanson de Roland (ilitafsiriwa kutoka lugha ya kifaransa)1914
  • The Cid (ilitafisirwa kutoka lugha ya kihispania) 1919
  • Sophia Trenton 1920
  • Ulug beg 1923
  • Ph.D.s 1925
  • Animula Vagula 1926
  • Guinea-fowl and other Poultry 1927
  • Lost Buffalo, and other Poem
  • Day of Fire 1943
  1. "Book of Members, 1780-2010: Chapter B" (PDF). American Academy of Arts and Sciences. Iliwekwa mnamo 5 Mei 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonard Bacon (mshairi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.