Nenda kwa yaliyomo

Rae Armantrout

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rae Armantrout

Rae Armantrout (amezaliwa 13 Aprili 1947) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2010 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rae Armantrout kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.