W. D. Snodgrass

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:William De Witt Snodgrass.jpg
W. D. Snodgrass

William De Witt Snodgrass (5 Januari 192613 Januari 2009) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1960 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu W. D. Snodgrass kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.