Carl Sandburg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Carl Sandburg
Carl Sandburg NYWTS.jpg
Sandburg mnnamo 1955
Amezaliwa 6 Januari 1878
Illinois, Marekani
Amekufa 22 Julai 1967
North Carolina, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Ndoa Lilian Steichen
Watoto Margaret, Helga, na Janet

Carl Sandburg (6 Januari 187822 Julai 1967) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1940, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa wasifu yake ya Rais Abraham Lincoln.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Sandburg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.