James Wright (mshairi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Arlington Wright (13 Desemba 192725 Machi 1980) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1972 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Wright (mshairi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.