Richard Ford

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Richard Ford mnamo 2013

Richard Ford (amezaliwa 16 Februari 1944) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1996, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Independence Day.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Ford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.