Josephine Johnson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Josephine Winslow Johnson (20 Juni 191027 Februari 1990) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1935 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Now in November.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Josephine Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.