Oliver La Farge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oliver Hazard Perry La Farge (19 Desemba 19012 Agosti 1963) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1930, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Laughing Boy.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oliver La Farge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.