Margaret Wilson (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Margaret Wilson (16 Januari 18826 Oktoba 1973) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1924, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Able McLaughlins.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margaret Wilson (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.