Nenda kwa yaliyomo

Margaret Mitchell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Margaret Mitchell

Margaret Munnerlyn Mitchell (8 Novemba 190016 Agosti 1949) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1937 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Gone with the Wind.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margaret Mitchell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.