Nenda kwa yaliyomo

Harper Lee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harper Lee, 2007

Harper Lee (28 Aprili 192619 Februari 2016) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1961, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake To Kill a Mockingbird.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harper Lee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.