Bernard Malamud
Mandhari
Bernard Malamud (26 Aprili 1914 – 18 Machi 1986) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1967, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Fixer.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bernard Malamud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |