John Hersey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Hersey

Amezaliwa John Richard Hersey
17 Juni 1914
Tianjin, China
Amekufa 24 Machi 1993
Florida, Marekani
Kazi yake Mwanahabari, Mwandishi, Profesa.


John Hersey (17 Juni 191424 Machi 1993) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1945, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake A Bell for Adano ("Kengele kwa Adano").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Hersey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.