Nenda kwa yaliyomo

John Steinbeck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Steinbeck

Steinbeck alimaliza shule(1919) Salinas,California.
kazi = mwandishi wa vitabu 27. Ambavyo 17 viliwahi kutumika kwenye filamu.
Amezaliwa John Ernst Steinbeck, Jr.
27 Februari 1902
California, Marekani
Amekufa 20 Disemba 1968
New York. Marekani
Nchi Marekani (U.S.A)
Kazi yake Mwandishi
Cheo Ni mmoja kati ya waandishi maarufu Marekani.
Ndoa Steinbeck alifunga ndoa na Carol Henning(1930) California, na kuachana nae kwa ajili ya Gwyn. Gwyndolyn Conger ni mke wa pili wa Steinbeck walifunga ndoa(1942-1948). Elaine Scott(1950) ni mke wa mwisho wa Steinbeck ambaye alikuwa muigizaji.
Rafiki Ed Ricketts.
Watoto Thomas na John kutoka kwa Gwyn,mke wa pili wa Steinbeck.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

John Ernst Steinbeck (27 Februari 190220 Desemba 1968) alikuwa mwandishi hodari kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa riwaya yake “Zabibu za Hasira” (kwa Kiingereza: Grapes of Wrath) iliyotolewa mwaka wa 1939; akatuzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya hiyo mwaka wa 1940. Mwaka wa 1962 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Steinbeck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.