Margaret Ayer Barnes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Margaret Ayer Barnes.jpg
Margaret Ayer Barnes, 1907

Margaret Ayer Barnes (8 Aprili 188625 Oktoba 1967) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1931 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Years of Grace.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margaret Ayer Barnes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.