Viet Thanh Nguyen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Viet Thanh NguyenViet Thanh Nguyen (amezaliwa 13 Machi 1971) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2016, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Sympathizer.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viet Thanh Nguyen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.